Muonekano uanotarajiwa kwa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Mkoani Dodoma itakavyoonekana mara baada ya kukamilika kwa Ujenzi wake ambapo tarehe 30 Oktoba, 2022, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la Msingi la mradi huo Mkubwa nchini.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT