ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Klabu ya Horoya Ac ya Guinea imethibitisha rasmi kuachana na kocha wao mkuu, Lamine N’diaye raia wa Senegal, baada ya kumalizika kwa mkataba wake.
–
Horoya walitaka kumuongezea mkataba kocha Lamine N’diaye ili kuendelea kusalia katika klabu hiyo lakini kocha huyo alikataa mkataba mpya.
–
Nafasi ya kocha huyo mwenye umri wa miaka 66 imechukuliwa na kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Guinea, LappΓ© Bangoura mwenye umri wa miaka 61.
–
Novemba 2019, N’diaye alitangazwa kama kocha mkuu mpya wa klabu ya Horoya akichukua nafasi ya Didier Gomes da Rose ambaye alifukuzwa kazi.
–
N’diaye anahusishwa na klabu ya Simba, hii si mara ya kwanza kwa kocha huyo kuhusishwa na Simba hata kipindi alichoondoka kocha Didier Gomes de Rose alihusishwa pia.
–
N’diaye aliwahi kuwa kocha wa vilabu 









–
Mafanikio yake makubwa










