Klabu ya RS Berkane imemtimua kocha Abdelhak Benchikha baada ya klabu hiyo kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika.
–
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Berkane imekuwa ikifuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo kwa misimu iliyopita huku ikitwaa kombe hilo mara mbili na ndio Bingwa mtetezi.