
Mtangazji wa Clouds fm amefunguka yake juu ya kumkosoa Msanii Diamond Platnumz baada ya Msanii huyo kumtambulisha Msanii mwenzake aliopo chini ya Lebo ya WCB, kwa kuwa alisema wimbo wa Msanii JUX amemshirikisha mke wake zuchu Kupitia Listening party iliyofanyika Novemba 24,2022 ambapo kuhusiana na hilo @Mwijaku (DC wa Insta) ameandika…………..”#MWAMBINO– Umetukosea sana sisi tuliopo kwenye ndoa . Nikwambie tu NDOA SIO KWAPA ,
Unamuitaje zuchu MKE WAKO ? Wakati hauja OA . Kwa sheria ya kiislaamu tayari UMERITAD inabidi USILIMU TENA UWE MUISLAMU .
Kwa kuongea uongo kwenye sunnah alio itekeleza mtume wetu muhammad swalla llahu alayh wasalaam”

ADVERTISEMENT