ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MADEREVA WATANO WAFUNGIWA LESENI ARUSHA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Nov 17, 2022
in HABARI
0
MADEREVA WATANO WAFUNGIWA LESENI ARUSHA
0
SHARES
61
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

 

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuhakikisha linakomesha matukio ya ajali kuelekea mwisho wa mwaka katika Mkoa huo limeendelea kutoa Elimu kwa madereva na kuwafungia leseni za udereva madereva watano (05) kwa makosa mbalimbali.

ADVERTISEMENT

 

 

 

–

 

 

 

Akitoa taarifa hiyo kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kamishna msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo asema kuwa madereva hao wamefungiwa leseni zao kwa muda wa miezi mitatu hadi sita kwa makosa mbalimbali ikiwemo ulevi, mwendokasi, kusababisha ajali, wenye makosa yanayojirudiarudia pamoja na wale ambao wanayapita magari mengine (overtaking) sehemu ambazo zimekatazwa kisheria.

 

 

 

–

 

 

 

Kamanda Masejo amebainisha kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kutoa elimu katika nyumba za ibada, stendi za mabasi, mashuleni, vijiwe vya bodaboda pamoja na masoko ambapo jamii hiyo imepata uelewa wa kutosha kuhusiana na sheria mbalimbali za usalama barabarani.

 

 

 

 

–

 

ADVERTISEMENT

 

 

Aidha ACP Masejo ametoa onyo kali kwa madereva wanaoendele kuvunja sheria za usalama barabarani kuwa Jeshi hili halito muonea muhali dereva yeyote kwa makosa ya uvunjifu wa sheria za usalama barabarani.

 

 

 

 

–

 

 

 

 

Pia amewaomba wananchi kutoa taarifa za uhalifu na walifu ili kuuufanya Mkoa huo kuwa shwari.

 

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In