ADVERTISEMENT
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla @amosmakalla ametangaza kusitishwa kwa mgao wa maji kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha ambapo awali kwa upande wa DAWASA ilikuwa inazalisha lita milioni 520 za maji lakini kwa sasa inazalisha lita milioni 590 huku mahitaji kwa Wakazi Dar es salaam yakiwa ni lita milioni 544 hivyo kwa sasa kuna ongezeko la lita milioni 46.
ADVERTISEMENT