ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MAKAMU WA RAIS ASISITIZA USHIRIKI KATIKA MICHEZO

Tanga, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Nov 21, 2022
in MICHEZO
0
MAKAMU WA RAIS ASISITIZA USHIRIKI KATIKA MICHEZO
0
SHARES
55
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

Feb 7, 2023

SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

Feb 3, 2023

SERIKALI YAJITOKEZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU

Jan 31, 2023
Load More

May be an image of 5 people, people standing and outdoorsMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr Philip Isdor Mpango @dr_philip_isdor_mpango amewataka viongozi wa Taasisi, Mashirika na Makampuni wanachama wa SHIMMUTA kuhakikisha wanatenga fedha kila mwaka na kuwaruhusu watumishi wao kushiriki michezo hiyo na kutoa kipaumbele kama majukumu mengine muhimu ya kiofisi.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa Ufunguzi wa mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Mashirika Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi nchini (SHIMMUTA) yanayofanyika katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga, tarehe 20 Novemba 2022. Pia amewasihi viongozi wa Taasisi, Mashirika na Makampuni Binafsi kuwaruhusu viongozi wa Kamati Tendaji ya SHIMMUTA washiriki kwenye vikao vya uongozi kila inapohitajika kwa maslahi mapana ya wafanyakazi na Taasisi hizo.
Makamu wa Rais amewahimiza viongozi na watumishi katika sehemu za kazi na watanzania kwa ujumla, kushiriki kwenye michezo, ili kuwa na nguvukazi yenye afya ya mwili na akili ambayo italeta matokeo chanya ya utendaji katika taasisi na kwa maendeleo ya Taifa. Amesema tafiti zinaonesha kuwa michezo ina faida kwa afya ya mwili na akili hivyo husaidia kuondokana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile kisukari na shinikizo la damu.
Aidha ametoa wito kwa Taasisi, Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi kuhakikisha wanafanya usafi, kupanda miti na maua katika maeneo yao ya kazi. Pamoja na kuendelea kushirikiana na Serikali kudhamini Programu mbalimbali zinazohusiana na maendeleo endelevu na utunzaji wa mazingira.
Kwa upande wake Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Pauline Gekul amekemea vitendo vya taasisi kushirikisha wanamichezo wasiohusika katika michuano hiyo. Aidha ameagiza Baraza la Michezo la Taifa kufuatilia taasisi 50 ambazo hazijashiriki katika michuano hiyo kwa miaka miwili mfululizo.
May be an image of 11 people, people standing, outdoors and text that says 'MBE T IENDE MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI "Michezo nifursa, tuitumie vyema kuimarisha Afya za SHIMMUTA 2022 wafanyakazi kwa uchumi imara wa Taifa' Kazi iendelee Simu Bure: 0800110028 WCF und idia Stahiki Απνα Wakati'
May be an image of 15 people, people standing and outdoors
May be an image of 11 people, people standing and grass
May be an image of 13 people, people standing and outdoors
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: OFISI YA MAKAMU WA RAIS
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

MUSONDA AHUSIKA ZAIDI YANGA KUTINGA ROBO FAINALI CAFCC
MICHEZO

MUSONDA AHUSIKA ZAIDI YANGA KUTINGA ROBO FAINALI CAFCC

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
YANGA YAFANYA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU DAR
MICHEZO

YANGA YAFANYA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU DAR

by ALFRED MTEWELE
Mar 17, 2023
MSEMAJI SINGIDA BS AKANUSHA BRUNO KUTUA YANGA
MICHEZO

MSEMAJI SINGIDA BS AKANUSHA BRUNO KUTUA YANGA

by ALFRED MTEWELE
Mar 17, 2023
RASHFORD AJIWEKEA REKODI NZURI BARANI ULAYA
MICHEZO

RASHFORD AJIWEKEA REKODI NZURI BARANI ULAYA

by ALFRED MTEWELE
Mar 17, 2023
MWENYEKITI WA CHAMA CHA  MABENKI TANZANIA (TBA) AONGOZA MAADHIMISHO  SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SEKTA YA MABENKI.
HABARI

MWENYEKITI WA CHAMA CHA  MABENKI TANZANIA (TBA) AONGOZA MAADHIMISHO  SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SEKTA YA MABENKI.

by I am Krantz
Mar 17, 2023
TFF YAJA NA JEZI MPYA TAIFA STARS KUTUMIKA AFCON 2O23
MICHEZO

TFF YAJA NA JEZI MPYA TAIFA STARS KUTUMIKA AFCON 2O23

by ALFRED MTEWELE
Mar 16, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In