Baada ya klabu ya Simba Kumtambulisha Kocha mpya wa Viungo, imempatia nafasi ya kuzungumza na umma, kocha wa Viungo amefunguka yafuatayo “Simba ni timu kubwa, ni timu ambayo sio tu inashiriki bali kushindana kwenye michuano ya CAF. Nitazamia kuungana nao katika jambo hilo na kusaidia timu kwenda mbele zaidi ya ambapo imewahi kufika.”- Kocha mpya wa viungo, Kelvin Mandla.