Bondia Maarufu wa Ngumi za Kulipwa karim Mandonga (Mandonga Mtu Kazi) ametajwa kuwa miongoni mwa Mabondia watakaocheza Mapambano ya Utangulizi katika pambano jipya la Kimataifa la Ngumi za Kulipwa kwa pambano lifahamikalo kama MO GREEN VITASA NIGHT linalomhusisha Bondia Twaha Kiduku na Bondia kutokea Nchi za nje lililoandaliwa hapa nchini ambalo litafanyika Novemba 25,2022 mkoani Morogoro (Mji Kasoro Bahari). Bondia huyo atazichapa dhidi ya Bondia Said Mbelwa.
ADVERTISEMENT