Zikiwa zimesalia siku kadhaa kuelekea Michuno ya Fainali za Kombe la Dunia, Balozi wa Kombe la Dunia nchini Qatar, Khalid Salman amesema kwamba kwa watu wanaojihusisha na Mapenzi ya jinsia moja (mashoga) lazima wakubali sheria za nchini hiyo kuwa kitendo hiko ni haram na akikubaliki “Mashoga? Inabidi wakubali sheria zetu hapa. Ni haram. Mimi sio Muislamu mkali lakini kwa nini ni “haram”? Kwa sababu ni upotovu wa akili”
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT