Msanii H. Baba ameandika katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamiii wa Instagram. “Ni marufuku kushindana na Diamond Platnumz Sababu kuu ni nyingi, Diamond nimfano wakuigwa kupitia sisi vijana mbali naubillionaire alionao billionaire Mtoto Diamond Platnumz pia vitu anavyomiliki nindoto yake, namalengo yake aliojipangia.
–
“Tujifunze wasanii kuwekeza tumezidiwa kila kitu ubishi utatufanya kuwa maskini wa fikra na Sanaa, kujikuta mjuaji wakati unakitu Ujawekeza utashindana vp na Mwekezaji mkubwa Kama Diamond Platnumz TUMEZIDIWA TUJIFUNZE KUPITIA 🦁 Diamond Platnumz”
–
“Kwanini ushindane na Mfano wetu wa Watanzania kupitia vijana, vijana wengi ujifunza vitu vingi kupitia Sanaa namaisha ya Diamond Platnumz ukitaka kushindananae nakupa Siri, labda Utamshinda Bangi na kupulizwa sio Muziki uwekezaji n.k wallah…tumpe heshima yake.
–
“Wee Endelea (Kupulizwa) sio MUZIKI huyu mwamba nimkombozi wa Sanaa nishujaa wa Sanaa tumueshimu kumshindanisha na Vipulizo nikosa kisheria tunamkosea Adabu #Kinyago ulichokichonga akikutishi ata siku moja.
Wee Pulizwa wapulizaji wapo”