ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Mkazi Songea ajishindia bodaboda kupitia NMB MastaBata Kotekote, Wengine 75 wazoa zaidi ya Milioni 7  

I am Krantz by I am Krantz
Nov 21, 2022
in HABARI
0
Mkazi Songea ajishindia bodaboda kupitia NMB MastaBata Kotekote, Wengine 75 wazoa zaidi ya Milioni 7  
0
SHARES
104
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

Mshindi wa kwanza wa Bodaboda katika Kampeni ya Mastabata – Kotekote ya Benki ya NMB, Asumwisye Mwajeka (wapili Kushoto) akiijaribu pikipiki baada ya kukabidhiwa katika benki ya NMB tawi la Mkwawa Mkoani Iringa. Kushoto ni Meneja mwandamizi wa Idara ya Biashara za Kadi, Manfredy Kayala, kulia ni Meneja wa Benki ya NMB tawi la Mkwawa, Happiness Pimma na wapili kulia ni Kaimu Meneja wa Kanda ya Nyanda za juu, Manyilizu Masanja.

 

RelatedPosts

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

Sep 26, 2023

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.

Sep 26, 2023

WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU

Sep 26, 2023
Load More

Benki ya NMB imepata mshindi wa pili wa bodaboda, Charles Erasto Mbwilo  kutoka Songea Mkoani Ruvuma kupitia droo ya  shindano la NMB  MastaBata Kote-kote.

Katika kampeni hiyo ambayo jumla ya Sh350 Milioni zitatolewa kwa washindi 854 ikiwa ni pamoja na Zawadi za Pikipiki na safari ya Dubai kwa washindi saba pamoja na wenza wao.

Akizindua droo ya pili ya mchezo huo katika Tawi la NMB – Mkwawa, Mkoani Iringa,  Kaimu Meneja wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Manyilizu Masanja alisema lengo kubwa ni kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na Lipa Mkononi(mastercard QR) kwa wateja wake.

Masanja alisema wateja wakifanya miamala yao kupitia kadi ya NMB mastercard au Lipa Mkononi(mastercard QR) au mtandaoni watakuwa wamejiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya ushindi katika droo zijazo.

Naye, Meneja Mwandamizi Idara ya Kadi,  Manfred Kayala aliwahimiza wateja kuendelea kutumia njia hiyo kufanya miamala ili waingie kwenye droo hiyo na baadae kushinda.

Kwa upande wake mshindi wa bodaboda wa wiki iliyopita, Asumwisye Mwajeka baada ya kukabidhiwa zawadi yake akisema;

“Niwahamasishe vijana wenzangu msitembee na pesa mikononi au mifukoni, faida yake mimi nimeiona. Nimefurahi kupata bodaboda,” alisema.

Tayari Sh15 Milioni zimetolewa kwa washindi 150 mpaka sasa na bodaboda mbili zikiwa na thamani ya Sh6 Milioni.

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE
HABARI

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.
HABARI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.

by I am Krantz
Sep 26, 2023
WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU
HABARI

WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
WAZIRI AWESO HATUWEZI KUFANYA KAZI PEKE YETU
HABARI

WAZIRI AWESO HATUWEZI KUFANYA KAZI PEKE YETU

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
TAMISEMI YATOLEA UFAFANUZI SAKATA LA DADA WA KAZI KUKOSA MASOMO
HABARI

TAMISEMI YATOLEA UFAFANUZI SAKATA LA DADA WA KAZI KUKOSA MASOMO

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
HALMASHAURI NCHINI KUZINGATIA UTOAJI LISHE MASHULENI
HABARI

HALMASHAURI NCHINI KUZINGATIA UTOAJI LISHE MASHULENI

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In