Bilionea, mfanyabiashara na Mjasiriamali kijana kutokea nchini Tanzania, Mohammed Dewji “MO DEWJI” ameipongeza Timu ya Wanawake Simba Qeens FC inayoshiriki michuano ya klabu Bingwa Barani Afrika kwa Upande wa Soka la Wanawake baada ya kufuzu kucheza Nusu Fainali kwa kuichapa klabu ya Green Bufallos kutokea nchini Zambia goli 2-0 katika mechi iliyochezwa Novemba 5,2022, Kwa sasa Mo Dewji aliyeipenda klabu ya Simba na Kuwekeza kwa dhamira ya dhati, siku za karibuni anajionea matunda juu ya ustahimilivu licha ya kukaliaana na changamoto kaza wa kaza wakati alipofanya maamuzi ya kuwekeza ndani ya klabu hio kwani hata kwa timu ya Simba SC yenyewe ipo katika michuano ya aina hio kuwania Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika.