RelatedPosts
ADVERTISEMENT
Mkimbiaji mmoja kutokea China ambaye ni maarufu kwa kukimbia huku akivuta sigara, majuzi aliimaliza marathon ya Xin’anjiang karibu na Shanghai katika muda ulioshangaza wengi.
–
Chen (50) anayejulikana zaidi kama “Uncle Chen” amekuwa maarufu kwa kukimbia mbio mbalimbali na kuzimaliza huku akivuta sigara muda wote.
–
Wiki iliyopita uncle Chen alimaliza marathon ya kilomita 42 ndani ya masaa matatu na dakika 28 na kushika namba 574 kati ya wakimbiaji 1,500.
ADVERTISEMENT