ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MWANAFUNZI MWENYE UMRI MKUBWA ZAIDI AFARIKI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Nov 18, 2022
in HABARI
0
MWANAFUNZI MWENYE UMRI MKUBWA ZAIDI AFARIKI
0
SHARES
240
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

Mar 20, 2023

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

Mar 20, 2023

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

Mar 20, 2023
Load More

 

Priscilla Sitienei (Gogo), raia wa Kenya ambaye anatajwa kuwa ni mtu aliyeanza elimu ya msingi akiwa na umri mkubwa zaidi kuliko watu wote dunia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100.

 

 

–

 

Gogo kama alivyokuwa akifahamika sana, neno ambalo maana yake ni Bibi kwa kabila la Kalenjin, alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 98.

 

 

 

–

 

 

Mjukuu wa Bibi huyo Sammy Chepsiror amesema bibi yake amefariki dunia kutokana na maradhi ya uzee na kwamba wanashukuru kwa maisha yake kwa kuwa ameipatia umaarufu mkubwa familia yao hasa baada ya hatua yake ya kuanza shule akiwa na umri mkubwa na hivyo kumfanya ajulikane na watu wengi duniani.

 

 

 

 

Priscilla Sitienei, a 98-year-old primary school student in grade six, chats with her classmates after a lesson at the Leaders Vision Preparatory School in Ndalat village of Nandi County, Kenya, January 25, 2022. Picture taken January 25, 2022. REUTERS/Monicah Mwangi

 

 

 

Wakati wa uhai wake, Bibi Priscilla Sitienei alisema ameamua kuanza shule akiwa na umri mkubwa tofauti na ilivyozoeleka kwa kuwa anataka kujua kutumia simu na anataka kujua kusoma maandiko ya Biblia.

 

 

 

–

 

ADVERTISEMENT

Alisema alishindwa kuanza shule akiwa mdogo kutokana na kukosa ada na kwamba hatua yake hiyo pia ina lengo la kuwahamasisha watoto ambao wameacha shule nchini Kenya kutokana na sababu mbalimbali kurejea shuleni na kuendelea na masomo yao.

 

 

 

ADVERTISEMENT

–

 

 

Bibi huyo aliamua kuanza shule ya msingi baada ya kufanya kazi kama Mkunga wa Jadi kwa miongo kadhaa.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In