Mzee Musa Hasahya ambaye ameoa wake 12 amefanikiwa kupata watoto 102.
ADVERTISEMENT
–
Mzee huyo ambaye ni mkazi wa Kata ya Mulaga Mji wa Busaba nchini Uganda, alioa mke wake wa kwanza akiwa na miaka 16 mwaka 1971 baada ya kuacha shule.
–
ADVERTISEMENT
Hasahya ambaye ana wajukuu 568, amesema anashangaa dhana ya mwanaume kuwa na mke mmoja.
–
Mmoja wa wake zake, Hanifa Hasahya, ambaye ndiye mke wa kwanza, amesema mume wao anashughulikia mahitaji yao na anawapenda wote sawa.