Waziri wa habari ,mawasiliano na teknolojia ya habari Mh. Nape Nnauye @Nnauye_Nape ameyataka makampuni yanayotoa Huduma za mawasiliano hapa nchini kutoongeza gharama za bando ama kufanya mabadiliko yaaina yeyote ile mpaka pale tathimini itakapokamilika.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT