Ndoa ya mwanadada Magret Okenyi, kutoka nchini Kenya, imevunjika ukumbini baaada ya kuzawadiwa simu ya iPhone 13 Pro Max na mtu ambaye mumewe mtarajiwa alimtilia mashaka.
–
ADVERTISEMENT
Bwana Harusi alimuuliza mkewe mtu huyu aliyekuzawadia hii simu ni nani? Mwanamke akakosa majibu na ndoa kuvunjika ukumbini.
ADVERTISEMENT
–
Imeelezwa kuwa kabla ya harusi kulikuwa na mawasiliano ya mkewe na mtu huyo ambae mumewe alitia mashaka mawasiliano yake.