ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

NIMEZALIWA KUWA STAR- HAJI MANARA

Dar es Salaam, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Nov 24, 2022
in BURUDANI
0
NIMEZALIWA KUWA STAR- HAJI MANARA
0
SHARES
55
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ImageKupitia kwenye IG Yake Haji Manara @hajismanara Anaandika……….”Verified Wakati wa kuzaliwa kwangu, Nchi hii ikiwa na Magazeti Mawili tu ya Kiswahili na kingireza Uhuru na Daily News,,yaliandika story ya Sunday Manara apata Mtoto wa kiume,,kumbuka hyo miaka kuandikwa gazetini ilikuwa ni ujiko kweli kweli.

Imagine mm nimeandikwa nilipozaliwa tu,,

RelatedPosts

No Content Available
Load More

Baadae kidogo tu,,Magazeti ya Ulaya yakaja na Story ya familia yangu tukitua huko kuutumikia Mpira wa Miguu,,kama picha ya mbele inavyoonekana.

Miaka michache baadae tayari napewa microphone kuhutubia hadhira kubwa kubwa,,Kiufupi nimekuwa prepared toka uzao wangu na media za ndani na nje ya nchi,,,haikuja Kwa bahati mbaya.

ADVERTISEMENT

Mic zikiniona tu zinasema Shkamoo Bugati 🤪

Ukisikia TBT ndio hzi sasa,,Halaf anatokea Nyantulindi ambae hadi leo anatumia kamba za katani kufungia Viatu anataka kushindana na Bugaaaaaa,,,Nyieeee 🤪🤪

Born To be A Star,,Umashuhuri unatayarishwa mabibi na mabwana.

Nb: basi Kuna watakaonuna hadi na tbt za Bugati,,,Uzuri wake sio sheeda zangu,,umnunie nani na maisha umeyaparamia Kwa pupa 😀😀”

ADVERTISEMENT

ImageImage

Related

Tags: VITUKO VYA MASTAA
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21
BURUDANI

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
CHUCHU HANS AZINDUA TAMTHILIA YAKE
BURUDANI

CHUCHU HANS AZINDUA TAMTHILIA YAKE

by ALFRED MTEWELE
Mar 22, 2023
MWANAMUZIKI AKA AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI
BURUDANI

MWANAMUZIKI AKA AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI

by Shabani Rapwi
Feb 11, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”
BURUDANI

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY
BURUDANI

BEYONCÉ AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY

by Shabani Rapwi
Feb 6, 2023
TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA
BURUDANI

TEMS ASHINDA TUZO YA GRAMMY, NI YA KWANZA KWA MSANII WA KIKE NIGERIA

by ALFRED MTEWELE
Feb 6, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In