ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Rais Samia Aihimiza Jamii Kupanda Miti Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

Manyara, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Nov 24, 2022
in HABARI
0
Rais Samia Aihimiza Jamii Kupanda Miti Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi
0
SHARES
39
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

Feb 7, 2023

SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

Feb 3, 2023

SERIKALI YAJITOKEZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU

Jan 31, 2023
Load More
May be an image of one or more people, people standing and outdoors
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameihimiza jamii kupanda miti ya kutosha lengo likiwa ni kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi ambayo yameanza kuleta athari katika mazingira.
Mhe. Samia amesema hayo Novemba 23, 2022 katika Mkutano wa Hadhara na Wananchi wa Babati mkoani Manyara uliofanyika katika Uwanja wa Kwaraa, ambapo amesema jamii inapaswa kuacha kukata miti na badala yake wapande miti kwa wingi katika maeneo mbalimbali.
“Tumekata miti vya kutosha sasa twendeni tukapande miti, lakini ile ambayo bado ipo tuache kuikata ili mazingira yarudi, maji yapatikane, umeme upatikane na mazingira yawe bora zaidi,” alisema.
Hivyo, kutokana na hali hiyo Mhe. Rais Samia alitoa wito kwa wanamazingira wa mikoa na wilaya kote nchini kuanza kushughulikia changamoto hizo za kimazingira.
Aidha Mhe. Rais Samia alisema kuwa athari za mabadiliko ya tabianchi zinajitokeza kwenye maziwa ambapo hivi sasa tunashuhudia maziwa yakikauka na wakati mwingine yanajaa kwa kasi na kuingia kwenye mkazi ya watu.
Aliwataka wananchi kuacha kuharibu mazingira kwani kitendo hicho kinasababisha mabadiliko ya tabianchi ambayo huchangia joto kuwa kali na mvua kukosekana na hivyo mifugo hufa kwa kukosa malisho na maji.
“Nawaasa kupunguza migogoro baina yenu hasa migogoro ya wakulima na wafugaji ambayo inaharibu taswira ya nchi yetu, nawasihi pia wanasiasa kuacha tabia ya kuchochea migogoro hiyo bali kuwa mstari wa mbele kusimamia mipango bora ya matumizi bora ya ardhi”, amesema Mhe. Samia.
May be an image of 9 people
May be an image of 1 person, sitting, standing and outdoors
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: OFISI YA MAKAMU WA RAIS
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In