Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapa nchini Jean-Pierre Kassala mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma Novemba 16, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Canada hapa nchini, Mhe. Kyle Michael Nunas mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Finland nchini Tanzania, Mhe. Tereza Zitting mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Novemba 16, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Irani nchini Tanzania, Mhe. Hossein Alvand Behineh mara baada ya mazungumzo, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Hispania hapa nchini, Mhe. Jorge Moragas Sánches mara baada ya kupokea Hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Loyang Johnson Okot Jekery, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.