Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano wa 27 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaoendelea katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022.