Chuo Kikuu cha Dar es salaam kimemtunuku Rais Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia shahada ya heshima ya Udaktari
.Moja Kati ya sababu iliyokifanya chuo kikuu Cha Dar es salaam kumtunuku PhD Rais Samia ni juhudi zake za kukuza uchumi wa Tanzania na kuwawezesha wananchi kukuwa kiuchumi.
ADVERTISEMENT