Mshambuliaji Erling Haaland amejiunga na klabu ya Ashton United inayoshiriki ligi daraja la 7 England kwa mkataba wa mkopo wa siku 28 akitokea Manchester City.
–
ADVERTISEMENT
Haaland amefikia uamuzi huo kwa ajili ya kujiweka fiti kipindi ambacho nyota wengi wameelekea Qatar kwa ajili ya kombe la Dunia.
–
ADVERTISEMENT
Ikumbukwe timu ya Taifa ya Norway haikufuzu kwenda fainali za kombe la Dunia 2022.