Kupitia IG Ya Msanii wa Muziki nchini, Rayvanny (Raymond Shaban Mwakyusa) amedhihirisha mchango mkubwa aliopewa na Msanii Diamond Platnumz (Nasibu Abdul) @rayvanny Ameandika………….”YANI ILIKUA ASILIMIA 99.9 NAACHIA HUU WIMBOβ¦. NAKUMBUKA MY BROX SIMBA KUNA SIKU NILIKUA NAONGEA NAE KWENYE SIMU , KATIKATI YA MAZUNGUMZO AKANIAMBIA ( EBHANA EEH SEMA TUNAWEZA PIGA GOMA LINGINE MAANA MWISHO WA MWAKA HUU TUPANGE TUUE ) NIKAMJIBU SAWA BIG NGOJA TUPANGE SESSION TUUEEβ¦β¦.. SASA WAKATI NAWAZA KUPANGA KWENDA STUDIO NIKASEMA HIVI KWANINI HILI GOMA NISIMTUMIE BWANA SIMBAA MAAANA NAMJUA HADI MUFIKE MUAFAKA HUA TUNAKUAGA NA OPTIONS NYINGI SANA ILA NILIPO MTUMIA TU !!!! MASAA MACHACHE BAADAE KAUAAAAAAAA π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ LABDA NISEME TU KILA NGOMA TULO FANYA WOTE NI BUNDUKIΒ @diamondplatnumzΒ MY BROTHER I GOT LOVE FOR U NO MATTER WHAT !!!!!!!!!!! KUSINGE KUA NAΒ @rayvannyΒ BILA WEWE π₯π₯π₯π₯π₯π₯Β #CHUIΒ πππππππππ XΒ #SIMBAΒ π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦Β #NITONGOZEΒ IS OUT WORLDWIDE JUS WAIT FOR THE F***N VIDEO OF THE YEAR”