ADVERTISEMENT
Mchezaji wa Manchester United,Cristiano Ronaldo amethibitisha kwamba ni kweli alikataa ofa ya pauni milioni 350 kutoka klabu ya Saudia wakati ya dirisha la usajili la majira ya joto.
–
“Ni kweli, nilikataa. Lakini kile walichosema waandishi wa habari kwamba hakuna timu iliyonitaka ni uongo, sio sawa kabisa. Lakini wanaendelea kurudia kwamba hakuna mtu anayemtaka Cristiano”
–
“Nina vilabu vichache vinavyotaka kunisajili na sikwenda kwa sababu najisikia furaha nikiwa Man Utd”
–
“Wanasema kwamba Marais na wakurugenzi wa timu mbalimbali wamezungumzia kunikataa. Ni uongo mtupu, wanasema uongo.” Amesema Ronaldo.
ADVERTISEMENT