Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz Al Saud amesema kuwa kesho Jumatano Novemba 23, 2022 itakuwa siku ya MAPUMZIKO kwa Waajiriwa na wanafunzi wote Nchini humo kufuatia ushindi wa 2-1 wa timu ya Taifa hilo dhidi ya Argentina katika mchezo wa Kundi C wa kombe la Dunia.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT