Timu ya wanawake ya Simba Queens inayoshiriki Michuano ya Klabu Bingwa kwa Upande wa Soka la Wanawake kutokea nchini Tanzania, baada ya Mazoezi ya siku chache ilipotoka kuminyana vikali na Klabu ya Green Buffaloes ya nchini Zambia na kuibuka na ushindi wa goli 2-0, na kusogea katika na fasi ya 2 ikiwa na jumla ya pointi 6 katika kundi A, sasa ipo tayari kuikabili Mamelodi Sundown FC katika mchezo wa Nusu Fainali utakaochezwa hii leo Novemba 9,2022 huko nchini South Africa.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT