Menejimenti ya Klabu ya Simba imeweka bayana kuwa aliyekuwa Kocha wa makipa Muharami Said Mohammed maarufu ‘Shilton’, hakuwa muajiriwa wa klabu hiyo pia hakuwa na mkataba na klabu hio. Klabu ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda wa mwezi mmoja,wakati wakiendelea na kutafuta Kocha wa kudumu.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT