ADVERTISEMENT
Baada ya Klabu ya Simba SC kukamilisha ratiba ya Chezo wake wa Novemba 9,2022 katika Michuano ya Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Singida Big Stars FC ambapo ilitoka kwa sare ya 1-1 huko mkoani Singida, Leo mapema kikosi kimerejea jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kuendelea na maandalizi ya mechi zijazo ikianzia na Ihefu FC,
ADVERTISEMENT