Klabu ya Singida Big Stars FC kutokea Singida ikiwa ndiye mwenyeji wa mchezo hapo jana Novemba 9,2022 dhidi ya mnyama mkali Simba SC ilifanikiwa kuweka kimiyani bao la kwaza mapema kabisa mnamo dakika za mwanzoni mwa mchezo huo katika kipindi cha kwanza lakini Klabu ya Simba iliweza sawazisha kwa Goli 1 ndani ya kipindi cha Pili na kusababisha timu hizo kutoka droo ya goli 1-1
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT