Hii imekuwa ni kwa mara ya pili kwa nchi ya Tanzania kupata Soko kubwa la kimataifa la kuuza parachichi ukiazungumzia na Soko la nchini India, Kwa sasa imekuwa ni neema kwa Wakulima wanaojihusisha na ustawishaji wa Zao la parachichi hapa nchini kupitia mkataba uliotiwa saini ukihusisha Serikali ya Tanzania na ya Jamuhuri ya Watu wa China wamepata nafasi ya soko huru la Kuuza Parachichi kutoka nchini Tanzania kuelekea Soko lililopo nchini China.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT