Ndege ya PW494 inayomilikiwa na Precision Air, “iliyokuwa na watu 43, ‘ilitua ziwani ikiwa inakaribia mji wa Bukoba, ulio kando ya ziwa. Ndege ilipata hitilafu kutokana na hali mbaya ya hewa”, anasema kamanda wa polisi mkoani Kagera William Mwampaghale, na kuongeza kuwa kazi ya uokoaji inaendelea.
ADVERTISEMENT