
Mpango akikabidhi Tuzo za 16 za Rais za wazalishaji bora wa Viwandani (PMAYA), kwa
mshindi wa jumla ya wazalishaji bora wa mwaka 2021 kwa Mkurugenzi
Mtendaji wa Tanga Cement wazalishaji wa Simba Cement (TCPLC), Reinhardt Swart,wakati wa hafla
iliyoandaliwa na na Shirikisho la
Viwanda Tanzania (CTI) jijini Dar es Salaam Tanga cement iliibuka
kidedea kwa kuwa mshndi wa jumla na kuwa mzalishaji Bora wengine pichani ni
Maofisa kutoka Tanga Cement
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip
Mpango akikabidhi Cheti cha Udhamini wa
Tuzo za 16 za Rais za Wazalishaji Bora wa viwandani (PMAYA) kwa Meneja
Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor
pamoja na Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Helen
Maleko ambapo Tanga cement waliibuka kidedea kwa kuwa mshndi wa jumla na kuwa
mzalishaji Bora wa Makampuni.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip
Mpango, akizungumza wakati wa wa hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa wazalishaji
bora wa viwandani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement wazalishaji wa Simba Cement
(TCPLC), Reinhardt Swart,
pamoja na viongozi mbalimbali kutoka Tanga Cement wakiwa katika hafla hiyo.
Picha ya Pamoja