Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA yasisitiza matumizi ya Nenosiri (nywila) imara ili kumsidia mtu kusalia salama (kujihakikishia usalama) katika matumizi ya mtandao. Hii ni kutokana na uwepo matukio yahusishwao na uhalifu mitandaoni ambapo mtu baki anaweza tumia taarifa zako au kuingilia uhuru wako pasipo kutoa idhini (hiari) yako na kukupelekea wewe kuwa hatarini kama vile kuhusishwa moja kwa moja na matukio ya kialifu au makosa ambayo kisheria unaweza kuhukumiwa.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT