Kampuni ya Mawasiliano, Tigo Tanzania imeshiriki kikamilifu katika mbio za Korosho marathon zilizofanyika mkoani Mtwara ikiwa na lengo hasa ni kutangaza fursa zilizopo mahali hapo.
Aidha, Mkurugenzi Tigo kanda ya pwani, Aidan Komba aalikuwa mmoja wa washiriki wa mbio hizo.
Tigo inajivunia kudhamini na kutambua fursa mbalimbali za uwekezaji na kupitia bidhaa na huduma zake kuwezesha urahisi na uharaka wa upatikanaji wa huduma za mawasiliano mkoani hapo.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT