
Kampuni ya Masiliano, Tigo Tanzania yasindikiza na kuwaaga washindi wa group #1 wa promosheni ya Wakishua Twenzetu Qatar Na Hisense.
Hafla hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Mohamed Mchengerwa, Afisa Mkuu wa Tigo Pesa Bi. Angelica Pesha pamoja na Balozi wa Wakishua, Aishi Manula.
Kupitia promosheni hii wateja Zaidi ya 50 wanapelewa kushuhudia mchuano wa kombe la dunia unaeondelea nchini Qatar huku zaidi ya washindi 20 wameshindia furushi la vifaa vya Hisense




ADVERTISEMENT