Leo mapema Kampuni ya Mwasiliano nchini Tigo Tanzania kwa kushirikiana na Samsung electronics imezindua Simu Janja aina ya Samsung A04 Series simu yenye ubora wa uhakika inayopatikana kwa gharama nafuu. Kupitia Kampuni hio inakuja na ofa ya GB 78 za kutumia mwaka mzima. Rasmi sasa inapatikana katika maduka ya Tigo na samsung kote nchini.
“LENGO lake ni kuhakikisha kila mtanzania anapata simu janja kwa bei nafuu na pia aweze kufurahia maisha ya kidigiitali bila kujali alipo” Ameeleza Imelda Edward-Meneja vifaa na bidhaa za interneti Tigo
WEWE TU “Samsung A04 Series zina ubora wa uhakika kwa gharama nafuu ambapo Samsung A04 inapatikana kwa 350,000 na A04s kwa Tsh 400,000 pekee kubwa zaidi Tigo wanakupa GB 78 utumie kwa mwaka mzima.” Mgope Kiwanga-Mkuu wa kitengo cha simu za mkononi Samsung Tanzania
@samsungtanzania #Uzinduzi #TigoNaSamsung