Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amekutana na Mkurugenzi wa TIKA Bi. Filiz Sahinci aliyeongozana na msaidizi wake Badrudeen Yassin, katika kikao alichomwakilisha Waziri wa Afya.
Katika kikao hicho, wamejadili jinsi gani Serikali ya Uturuki kupitia taasisi yake ya uratibu wa maendeleo TIKA wanaweza kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya katika kuboresha huduma nchini.
Aidha, wamejadili ufungizi wa kituo cha emergency ya watoto kilicho jengwa na TIKA katika hospitali ya muhimbili.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT