Waziri wa mawasiliano na teknolojia ya habari, Mhe. Nape Nnauye akimkabidhi mkurugenzi wa sheria na mahusiano wa TotalEnergies Marketing Tanzania LTD, Getrude Mpangile tuzo ya mlipa kodi mkubwa mwaka wa fedha 2021/2022 kipengele cha mawakala, waagizaji, wasafirishaji na wasambazaji wa bidhaa mbalimbali kupitia idara ya forodha na ushuru wa bidhaa (Customs and excise department).
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT