ADVERTISEMENT
Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi umeeleza kwamba umesitisha zoezi la uchaguzi wa nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri kuu kisa uwepo wa wimbi la tuhuma za rushwa, @ccm_tanzania “Tumesimamisha uchaguzi wa nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoa wa Arusha, nayo tatizo ni hilo hilo, changamoto zikiwemo tuhuma za Rushwa, tukikamilisha uchunguzi tutatoa taarifa na uamuzi wa Chama na kuendeleza au kuruhusu mchakato wa uchaguzi kuendelea.”
ADVERTISEMENT