
Imeelezwa kwamba kwa wastani tembo anahitaji lita 200 za maji kwa siku lakini sasa lita hizo hazipatikani kutokana na ukame unaoendelea, hivyo hali hio inaendelea kusababisa aina ya wanyama wengi kupungua idadi yao kwa kasi zaidi ukilinganisha na jinsi hali ilivyokuwa hapo awali.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT