Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool, Roberto Firmino hajajumuishwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Brazil kitakachoeleka katika Michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka huu.
–
Roberto Firmino ana wastani wa kufunga mabao 0.5 kwa kila mechi msimu huu, ukiwa ni msimu wake wa mafanikio makubwa tangu ajiunge na Liverpool mwaka 2015.
–
Katika mechi 18 msimu huu akiwa na Liverpool amehusika katika mabao 12, akifunga mabao nane na kutoa assist nne (4)
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT