Kaimu Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Arusha (TAKUKURU) Zawadi Ngailo amesema taasisi hiyo imeanza uchunguzi suala la upotevu wa fedha ,Milioni 400 kwenye akaunti ya Umoja wa waendesha pikipiki (UBOJA) zilizoibiwa na watu wasiojulikana.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT