Kampuni ya Mawasiliano Vodacom Tanzania imeandaa programu maalum kwa ajili ya kuwapa fursa wasichana wenye umri kati ya miaka 14-19 kujifunza masuala yahusianayo na kompyuta ili kuongeza ujuzi wa Kiteknolojia.
Katika kuwaunga mkono watoto wa kike nakuendeleza ujuzi wao, Vodacom inawaletea programu ya Code like a Girl Mjini Mbeya. Programu hii imejikita kuwashirikisha wasichana wenye umri wa miaka 14-19 walio na nia ya kujifunza mambo ya kompyuta na kuwawezesha kugundua shauku zao na kuongeza ujuzi wa kiteknologia amabzo zitahitajika zaidi mbeleni.
Usajili unafanyika kupitia: https://bit.ly/CodelikeagirlMbeyaDec2022
#pamojatunaweza #zaidiyamtandao #codelikeagirl”