Kampuni ya Mawasiliano nchini, Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), imezindua huduma ya eGazeti ambayo itakuwezesha kusoma magazeti mbalimbali kiganjani kwako kupitia ‘My Vodacom App’.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT