Kampuni ya Mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC yaishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuitambua kama mlipa kodi mwenye uhiari wa ulipaji wa kodi kitaifa Katika sekta ya mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2021/22 katika siku ya walipakodi bora wa mwaka. Inajivunia sana kwa kuchangia mapato ya nchi kupitia kodi na ada inayozilipa kwa Seri
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT