Kampuni ya Mawsiliano Vodacom Tanzania yaibuka kinara na Tuzo mbili kwenye Consumer Choice Awards zikiangukia katika vinyanganyilo vifuatavyo, “Most preferred quality and speed Internet service provider” na “Most Reliable and Quality Network Telecom Service Provider of The Year”
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT