ADVERTISEMENT
Kampuni ya Mawasiliano Vodacom Tanzania imezindua 5G Routers za kwanza Tanzania kutoka hivyo kuwa kampuni ya kwanza kuuza bidhaa ya kumuunganisha mteja wake na huduma na intaneti, imeshauri wateja wake kutumia fursa hio vema ili Kuwa wa kwanza kufurahia intaneti ya 5G ukiwa nyumbani au ofisini kwa malipo ya kila mwezi.
ADVERTISEMENT