ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WANANCHI WALALAMIKA RAIS WAO KWENDA QATAR KUANGALIA KOMBE LA DUNIA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Nov 12, 2022
in HABARI
0
WANANCHI WALALAMIKA RAIS WAO KWENDA QATAR KUANGALIA KOMBE LA DUNIA
0
SHARES
159
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

 

Rais wa Liberia George Weah amelifahamisha baraza la seneti kuwa anapanga kukaa siku tisa nchini Qatar kutazama mechi za kombe la dunia .

 

 

 

–

 

 

Bw. Weah  mwanasoka wa zamani  aliondoka nchini wiki iliyopita kwa ziara kadhaa za kigeni, lakini sio mipango yake yote imefichuliwa. Mwanawe Timothy, ambaye ni Mmarekani, atakuwa katika kikosi cha Marekani katika mashindano ya Kombe la Dunia, yatakayong’oa nanga tarehe 20 Novemba.

 


George Weah alichezea timu kubwa za Ulaya, zikiwemo AC Milan na Chelsea. Rais huyo mwenye umri wa miaka 56 alibadili kazi na kuchaguliwa kuwa rais wa Liberia mwaka wa 2017.

 

 

 

–

 

Habari za mipango ya safari ya nje ya rais zimewakasirisha raia wengi wa Liberia, wengine wametumia vipindi vya kupiga simu kwenye redio na kwenye mitandao ya kijamii kumkosoa.

 

 

 

–

 

Wanasema itakuwa ni kutotilia maanani hali ya wananchi kwa rais kwenda Qatar wakati ambapo watu wengi walikuwa wakikabiliana na tatizo kubwa la chakula, pamoja na kutokuwa na uhakika kuhusu mwenendo wa sensa ya watu iliyocheleweshwa sana, ambayo Bw Weah aliiahirisha hivi majuzi kwa mara ya sita.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

 

 

 

–

 

Wafanyakazi wa Bw Weah ambao hawajajibu maswali kuhusu gharama ya safari hiyo – wamejibu wakosoaji wake, wakisema ziara za nje za rais “zitazaa faida kubwa” kwa nchi.

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In